Habarini jf member naombeni mwenye uelewa kuhusu sehemu wanazohusika na mambo ya ufundi bomba anipe muongozo
Mimi ni mwanafunzi wa bomba kutoka katika chuo ( ..... )
Ila isiwe dawasa pia kuwe hata na posho kidogo naoatikana mbagala
Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.