Recent content by piry Lasway

  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kutumia elimu kupunguza tatizo la ajira

    Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana. Ili elimu yetu iweze kutumika kupunguza tatizo la ajira inapaswa kufanya yafuatayo; (1)Kabla ya kutoa elimu kwa mtoto inapaswa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia

    Asante sana ndugu yangu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo ni uti wa mgongo

    Asante sana ndugu yangu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo ni uti wa mgongo

    Aksante sana ndugu yangu.
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia

    Mataifa makubwa na ya kati tunayoyaona leo yaliwekeza kwenye Sayansi na teknolojia,ndipo yalipofikia apa tunapoyaona.Ili taifa letu la Tanzania kuweza kukua halina budi kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia kwa kukuza na kuendeleza vipaji vya wabunifu wetu. Katika taifa letu tumesikia wabunifu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo ni uti wa mgongo

    Kilimo ndio uti wa mgongo kwa taifa letu, kwani kupitia kilimo taifa linajitosheleza kwa chakula,pato la taifa linakua, kipato cha jamii na mtu mmoja mmoja kinakua, ajira zinapatikana za kutosha, Taifa letu ili linufaike zaidi kupitia sekta hii ya kilimo,basi haina budi kuongeza bajeti ya...
Back
Top Bottom