Mfumo wa elimu katika nchi yetu umekuwa ni changamoto kubwa sana. Namna unavyoendeshwa unakuwa ni tatizo kwa wanafunzi wengi kuweza kufikia malengo yao. Wanafunzi wengi wamejikuta wakisomea fani ambazo si chaguo lao na inawalazimu kufanya hivyo ili tu kwendana na upepo wa Ajira. Vipaji vingi...
Suala la uchumi hususani ‘pesa’ imekuwa ni kitunguu ambacho kinatumika katika maisha ya kila mtu, kila siku. Usipoitumia ni lazima uiwaze kivyovyote vile. Je, ni nani awezaye kutatua changamoto za fedha? Ungana nami kujua namna inamtoa machozi kila mtu.
KILIO CHA WENGI
Miriam akiwa anatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.