Recent content by pico

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    mimi ni mama mtu mzima mwenye uli wa miaka 69 nina watoto wa 5 wakubwa tu....Tatizo langu linalo nisumbua sana ni.. ni madonda ya tumbo amabyo hua yananiuma sana ninapo kua na njaa , na nimetumia dawa mbali mbali.... naomba msaada wenu.....
  2. P

    JamiiForums Tanzania sauti inapotea

    salama wakubwa na wadogo mimi jamani nina tatizo moja...sauti yangu inakua ya kukwaruza sana nikiongoea natumia nguvu sana nakua nachoka.Mpaka sasa nina mwezi mmoja....Naomba msaada wenu...
Back
Top Bottom