Tatizo na elimu ni kwamba mtu alivyokwenda mbali ndivyo anavyozidi kudharau kazi za watu. Kazi haiheshimiki katika jamii na ukweli ni ni kwamba kazi ni chanzo cha faida. Wasomi wa elimu bandia wanatakaa kukaa ofisini tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.