Recent content by Philbert Meshack

  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Uz Makala yako ni nzuri sana. Nimeipenda. Ila kuna upigaji mwingi sana NHIF kuanzia kwa watoa huduma mpaka kwa wanufaika
  2. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo

    Asante sana kwa taarifa
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo

    Ni kweli kabisa
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo

    Kilimo ni shughuli ya kibinadamu inayojumuisha uzalishaji wa mimea na ufugaji wa wanyama. Miongoni mwa mazao ya chakula yanayolimwa ni pamoja na mahindi, ndizi, maharage, mihogo, mtama, uwele, njegere, choroko, karanga na viazi. Mazao ya biashara yanayolimwa ni pamoja na karafuu, pamba, alizeti...
Back
Top Bottom