Recent content by phamber

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri yenye banda la kuku inapangishwa Tegeta kwa bei nafuu

    Habari wana JF, Ninapangisha nyumba yetu iliyopo Tegeta, pale njia panda ya chanyika, kuelekea kanisani karibu na Nyaga Dispensary. Nyumba ipo ndani ya fence na ni nyumba kubwa yenye vyumba 2(sio master), sebule, dining, jikoni, choo na bafu. Vile vile ina servant quarter ya nje yenye vyumba...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta banda la kufugia kuku wa kisasa Dar es Salaam

    Habari wana JF. Ninahitaji banda la kukodisha la kufugia kuku wa kisasa. Ninataka kuanza na kuku 500 na kuendelea. Banda liwe na vifaa au bila vifaa, ila liwe na umeme na maji. Ninahitaji kwa maeneo ya Dar es Salaam. Ninaweza kusign mkataba wa miezi sita mpaka mwaka. Mwenye information ninaomba...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta banda la kufugia kuku wa kisasa Dar es Salaam

    Asante. ninaomba uni ibox namba yako ili yuongee.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta banda la kufugia kuku wa kisasa Dar es Salaam

    Ahsante, nitamcheki
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta banda la kufugia kuku wa kisasa Dar es Salaam

    Habari wananzengo. Ninahitaji banda la kukodisha la kufugia kuku wa kisasa. Ninataka kuanza na kuku 300 na kuendelea. Banda liwe na vifaa au bila vifaa. Ninahitaji kwa maeneo ya Dar es Salaam. Ninaweza kusign mkataba wa miezi sita mpaka mwaka. Mwenye information ninaomba anijulishe inbox au...
Back
Top Bottom