Kama ilivyo asili yetu Watanzania kupumzika majira ya jioni baada ya shughuli mbalimbali za hapa na pale za kutupatia mlo, kupata wasaa wa kujumiaka na ndugu, jamaa na marafiki zetu (vijiweni).
Ndipo tunapo jadili mambo mbalimbali ya kiuchumi, kisiasa na kijamii hasa yanayoendelea katika nchi...