Nahisi maziwa kama yanajaa pia yanakua yamoto pia naenda haja ndogo sana na mwezi mmoja umepita nilikua nikilala sana natoka na ute mwepe sehemu za siri lakini nikipima haionikani
Za leo ndugu wapendwa ninaomba msaada wenu ni na dalili za mimba ila nimeona siku zangu miezi miwili mfululizo na mwezi wa kwanza nilipima sikua na mimba maziwa yanakua yamoto nahisi maumivu kwa mbali sana na kauvimbe ka mbali sitapiki sihisi kichefuchefu ila mwanzo nilikua nalala sana je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.