UWAJIBIKAJI
Uwajibikaji ni hali ya mtu kuyakabili majukumu yake ipasavyo bila kusukumwa, kuwajibika pia nia hali ya mtu kutimiza vilivyo majukumu alionayo. Uwajibikaji umegawanyika katika nyanja mbalimbali, nyanja hizo ni kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Kila mtu katika jamii anawajibu ambao...