Recent content by pearlpierre

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mwili unawasha balaaa!

    Unatakiwa utuambie unawashwa kivipi Je ni baada ya kuoga labda? Au ni baada ya kutumia au kufanya kitu fulani? Au ni kutokana na hali fulani ya hewa? Au wewe unawashwa tu mda wowote? Em funguka kidogo.
Back
Top Bottom