Recent content by OMARI KITOMARI

  1. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo

    Tuko pamoja mawazo kama haya yanajenga nchi yakitumiwa vizuri
  2. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siasa ni sura inayotazamwa zaidi, ikitumika vizuri inaweza kubadili maisha ya watu

    Mitandao ya kijamii ni eneo muhimu sana ambalo siasa ikilitumia vizuri kuna manufaa makubwa sana maana asilimia kubwa ya watanzania wanatumia mitandao mbalimbali ya kijamii na ilikuyafikia malengo hayo ingebidi siasa inahakikisha kila mtanzania mwenye miaka kumi na nane na kuendelea anatumia...
  3. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo

    Nimefurahishwa na andiko lako sana kwangu mimi nimependa mtazamo wako kwenye eneo hilo la dira ya maendeleo inayotekelezeka mimi nime vote tayari 👍👍
  4. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siasa ni sura inayotazamwa zaidi, ikitumika vizuri inaweza kubadili maisha ya watu

    TOZO: Baada ya serikali kuongeza tozo kulitokea malalamiko mengi kwa wananchi mbalimbali kwa maana ya walionacho na wale wasio kuwa nacho ikapelekea serikali kulitazama upya na hatimae limepunguzwa kwa asilimia 30%.Sababu ya kupunguzwa ni zile kelele zilizovuma kwenye sura ya siasa sura hii kwa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siasa ni sura inayotazamwa zaidi, ikitumika vizuri inaweza kubadili maisha ya watu

    Naomba mnipigie kura kuwa mshindi
  6. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siasa ni sura inayotazamwa zaidi, ikitumika vizuri inaweza kubadili maisha ya watu

    1. UTANGULIZI Awali ya yote naomba kuwashukuru Jamii Forums kuandaa hii story of changes kwa wale watakao shiriki kila mmoja atakuwa na mtazamo wake ivyo itawapelekea jamii forum kupata mawazo mengi zaidi lakini wametoa fursa kwa watu mbalimbali kushiriki na watakao shinda basi kile...
Back
Top Bottom