Recent content by Olale1979

  1. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Ok nitakupigia.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Fika ofisini kwetu tutakupatia maelekezo yote
  3. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Tupo
  4. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Pia hatushauri ujiunge kama hujapata uhakika wa hili jambo.Fanya udadisi wa kutosha na ujiridhishe alafu ndio uangalie kama unaweza kujiunga ama la. Ni hiari.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Ukonga Magereza ndio makao makuu tupo jirani na bwalo la magereza
  6. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Tuna matawi mbalimbali hapa Dar es salaam, Majohe ni kituo kipya ambapo pia tutakua na mradi wetu wa Sungura. Tupo ubungo karibu urafiki karibu na stendi ya mabasi ya kilimanjaro, bunju, mikocheni, kibamba chamazi, salasala, m/ nyamala,kisarawe, chanika, kisarawe, msakuzi nk
  7. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Baada ya kuzalisha na kuuza. Kabla hujajibu embu soma maelezo vizuri hapo juu.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    We njoo ofisini kwetu tuongee miradi yetu yote tunaifanya kwenye ardhi tuliopatiwa na serikali. Wala usihangaike kwamba utafanyia hii miradi wapi!
  9. O

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    NAMAINGO BUSINESS AGENCY CO LTD ni kampuni ya ushauri wa kibiashara, ikijikita zaidi kwenye kilimo biashara (AGRIBUSINESS).Kampuni inawaunganisha Watanzania wajasiliamali na wajasiliamali watarajiwa na fursa zifuatazo; *KUPATA MIKOPO/MITAJI yenye masharti nafuu *MASOKO *KUPATIWA ELIMU...
Back
Top Bottom