Jaman naombeni msaada nimepitiliza kuingia katika siku zangu sasa hivi ni siku ya saba tangu tarehe 17 mpaka leo tar 23 sijaona siku zangu, napata maumivu makali ya tumbo kama la bleed kwa kipindi yaani tumbo linauma sana hadi naishiwa nguvu naomba ushauri nifanyeje au kama kuna kitu mnajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.