Recent content by Nyangumi

  1. Nyangumi

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Na sio vyama kwa nyie mnaejali kweli Chama chenu kwa kutishiana kutoka. Na kila kura ya mtu hata kama ni mmoja ina umuhimu kwenye uchaguzi wowote.
  2. Nyangumi

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Mie sioni haja ya kuwa na hasira. Ooh! Ntarudisha kadi kwa manufaa ya nani sasa? Hivi hayo mnayowaza mnadhani wao hawajalitazama hilo??!! Wapeni nafasi ya kujieleza kwann wanampokea Lowassa !!!
  3. Nyangumi

    Ufisadi mwingine waibuliwa Bungeni!

    Mnaipenda sana Ccm, ngoja iwaonyeshe inavyofanya kazi na kutumia ipasavyo kodi zetu.
  4. Nyangumi

    Ufisadi mwingine waibuliwa Bungeni!

    Siku zote nasema "Wajinga ndo waliwao" Sidhani kama kuna jamii ya watu wapumbavu na wajinga kama ya watanzania. Huko vijijini wakitaka Maji wanaambiwa wachange na mijitu inachekelea tu!! Halafu tunahubiriwa Uzalendo!!!
  5. Nyangumi

    Mbunge anayetajwa na gazeti la Jamhuri ni yupi?

    :D Hahaha!! Nilikuwa Nilikuwa Natafuta chama cha kijinga nacho ambacho kinaweza kuniguantee immunity. Sera za Mechi hii ni kula mechi kwenda mbele. Naanzisha kakampuni kangu kma kushinda na kusafirisha meno ya Tembo Halafu sirudi tupu, napakia sembe. Nlikuwa hapa mnipe majina ya wafanyabiashara...
  6. Nyangumi

    Nape Nnauye: Kubali usikubali, CCM Bado ni Kipenzi cha Watanzania

    Mimi sikatai inawezekana kweli CCM ukiwa bado ni vyama kinachopendwa.. Tatizo langu ni kwa nini wa ntakuwa na wasiwasi na hawataki kurekebisha mambo ya msingi kama Tume huru ambacho haitaipendelea hata Chadema, na Daftari la wapigakura liwe linaboreshwa mara kwa mara ili kwa vile nyie mnawapenzi...
  7. Nyangumi

    Tumejipanga kutoa elimu ya uzalendo, kwa kutumia DVD

    Uzalendo haujengwi kwa CD, DVD, SANTULI wala MAWAIDHA. Uzalendo unajengwa kwa watu kuona na kufeel kuwa vitu vilivyomo katika mipaka ya ardhi ambayo mwenyezi Mungu kawapa inawanufaisha vilivyo. Rasilimali zilizopo zinasimamiwa vema na watu waliopewa dhamana kuwapatia huduma bora. Uzalendo...
  8. Nyangumi

    Mwigulu: Ukichukua Vijana watano "Wachumi" wa rika langu lazima niwepo!

    Tatizo letu watanzania. Mimi ambaye siwezi kuona vyeti yake ntamjaji mtu akili yake kutokana na kauli zake na matendo yake. Kuwa wa kwanza na hiyo first class ni matokeo ya kuonyesha kuwa upstair uko vizuri. Lkn kama uko vzr na bado natoa kauli na kuwa na matendo machafu kama aliyonayo...
  9. Nyangumi

    Yaliyojiri: Mkutano wa Joseph Mbilinyi maeneo ya TEKU - Jan 17, 2014

    Kama wasomi na nyie kwenye ajili mmeona mambo ya siasa hayawahusu, waacheni wavuta bangi wachaguane. Kila msomi anakwambia hawezi siasa za Tanzania. Wanaoweza ngoja wakamsikilize mtu wa naona anawafaa
  10. Nyangumi

    Mh. Tundu Lissu aeleza sababu ya kuondoa kipengele cha ukomo wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA

    Hivi mie nashindwa kuelewa hivi demokrasia ni kuweka ukomo wa baadhi ya kwenye hali kugombea na kuwa nyuma hali ya wale wanaotaka kuwachagua. Au ni kuweka utaratibu ambao utamuwezesha kila mtu kugombea mpaka pale anatakapochoka kuchaguliwa? Kama ni lazima kuweka ukomo tuanze kwa kuviwekea vyama...
  11. Nyangumi

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    Tatizo kwa kuwa sisi sio viongozi nakwakua hatujulikani tunaweza kunyooshea engine vidole. Asilimia kubwa ya mwanaume ni malaya. Na si kwamba wakiweka ukomo wa viongozi na kumchagua mwanamme mwingine malaya kuwa mwenyekiti ataacha umalaya. Tuache mambo ya kijinga. Tujadili ya msingi.
  12. Nyangumi

    Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

    Siwezi kusema sana ila ukisoma post hii utagundua kuwa huyu ni moja ya watu wanaoumizwa sana na umakini wa mtu then anakuwa anavizia vikosa vdogo ili airidhishe nafsi yake kwa kumdiscredit mtu. Ndo maana kashindwa kuona mantik zima. Inawezekana hata yeye hakusikia vzr. Kama Hekta 1 ni sawa na...
  13. Nyangumi

    Lema: Ubabe siyo dhambi, inategemea ubabe huo unaufanyia wapi

    Kinachowasumbua wengi, Lema anaongea vitu ambavyo Watanzania hatukuvizoea lakini ndo sahihi. Kila sehemu ni kubembelezana tu. Kila sehemu tunataka Diplomasia na Siasa. Aaaagh:frusty: Ndo maana tunamwona Waziri mkuu Pinda anatufaa!!!!Eti mtendaji!!! Siasa kila kona na woga wakati umeshika Dola...
  14. Nyangumi

    Sakata la Zitto na Dr. Kitila: Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ailipua Kamati Kuu

    Unajua hata nyumbani kwako baba ukiwapa uhuru usio na mipaka watoto wako iko siku watakuabisha mbele za watu. Huyu mtu anaitwa Zito baada ya issue ya Buzwagi aliposimamishwa na Bunge na kisha kupata umaarufu saana, akaona kumbe yeye ni maarufu zaidi ya Chadema!!! Na baada ya kuvimbishwa kichwa...
  15. Nyangumi

    Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

    Kufaa au kutofaa kwa candidate hakufanywi kwa kuwalinganisha wagombea. Hili ndo kosa tunalolifanya Watanzania. Hatujui nini tunachohitaji na then tuangalie nani mwenye uwezo wa kweli wa kutupatia tunachohitaji katika ubora tunaotaka. Tunachofanya tunajaza tu nafasi kwa sababu zipo wazi.
Back
Top Bottom