Recent content by nuruni

  1. N

    Msaada tafadhali wanajamvi

    Naomba mzizi mkavu atembelee hapo
  2. N

    Maradhi shambulizi ya moyo

    hata mimi nina tatizo kama hilo naomba mzizi mkavu amwage shule ya miti shamba hapo
  3. N

    Msaada tafadhali wanajamvi

    Naomba mnisaidie nina ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu,alienda hospital akapimwa akakutwa na uvimbe (fibroid) akapewa dawa lakini maumivu yakawa palepale baadae akaenda tena hospital akapimwa akaambiwa ana vijiwe kwenye kibofu cha mkojo(renal calculi)...
  4. N

    Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

    Nikila hivyo vitu naweza acha kufanya mazoezi asubuhi?
  5. N

    Msaada jamani

    Naombeni mwenye jibu sahihi please
  6. N

    Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

    Renal calculi ni nini?nisaidie tiba mbadala mzizi mkavu
  7. N

    Msaada jamani

    Naomba yeyote mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kupunguza tumbo kwa njia ya kutumia kabegi.me ni mgeni kwenye jukwaa hili naomba mnipokee.
Back
Top Bottom