Asante, ndugu yangu nishaenda hosptal kila specialist wa magonjwa ya ngozi nae kutana nae anachonambia ni kwamba uo ugonjwa auna tiba, other wise ni kumeza dawa ndani ya miezi 6 then itapotea lakini nimefanya hivyo kwa kumeza miezi 3 naona shida bado ipo ila bado vinajirudi, na wanasema...