Recent content by nsibirwa

  1. N

    Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

    Bado Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
  2. N

    Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

    picha sina samahani,naamini mhitaji serious ni vizuri kwenda physically kuona kwa macho,kujiridhisha kwa majirani na serikali ya mtaa Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
  3. N

    Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

    Wandugu Nauza Kiwanja changu kwa bei nafuu sana. Kiwanja kipo Bunju A Mtaa wa Senzele yaani ukishuka kituo cha Bunju A Shule unatumia dakika 8 kwa bodaboda kufika eneo kiwanja kilipo. Kina ukubwa wa Hatua 35 kwa 25. Maji na umeme vipo karibu.Bei ni Tsh Ml.5,200,000/- tu Kwa mhitaji anitafute kwa...
Back
Top Bottom