Nauza plot,iko surveyed na ina hati miliki,ni low density plot size yake sqrmeter 2480,IKO maeneo ya tabata! kwa anaehitaji ani inbox au mawasiliano number 0782261294 --bei 29m,maongezi yapo.
JF senior! bei ni nzuri tu,na bei huwa inakuwa negotiation
baina ya muuzaji na mnunuzi-hivo kwa anaehitaji ni vema
tukawasiliana kwenye number hiyo.
Ahsante!
Nauza plot,iko surveyed na ina hati miliki,ni low density plot size yake sqrmeter 2480,IKO maeneo ya tabata! kwa anaehitaji ani inbox au mawasiliano number 0782261294
Nauza kiwanja,kimepimwa na kina hati miliki,
urefu ni 68kwa68 na upana ni 40kwa33. kiko maeneo
ya tabata kisukulu,ni pembeni ya tabata segerea.bei ni 27m.
kama ukihitaji tuwasiliane 0782261294
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.