Kwa kuanzia ni kama 5000000 iyo ni pamoja na kulipia kodi ya flem na kukunua makeup box na vipodozi kwa kuanzia ila camera mm ninayo na baadhi ya vifaa vya studio
Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.
Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.