Recent content by Noel Shao

  1. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Asante budda.. please I beg your vote
  2. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Siyo kweli.. Mbowe alikuwa na kesi ya kuitisha maandamano yeye pamoja ba watu wengine ikiwemo aliyekuwa Mayor wa Ubungo Boniface Jacob, kilichofanyika ni kuwa walipewa ruhusa na jeshi la polisi kusafiri huku wengine wakiendelea kuripot polisi . Hivyo watu waache siasa
  3. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Hahaha.. your vote plz
  4. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Well said budda... Pia I request your vote please
  5. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    🙏🙏 Yo vote please
  6. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Na taifa kwq ujumla.. plz yo vote
  7. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Who is right, first police information or sheet charge from Police office?
  8. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Taarifa y awali y jeshi la polis ilikuwa mbowe anashtakiwa kwa ugaid na tuhuma za kutaka, kuua viongozi, ila charge sheet ikaeleza kuwa alikuwa anataka kuchoma vituo vya mafuta! Huoni hii tofaut inatia doa mamlaka?
  9. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Thank you much.. your vote please
  10. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Pam Pamoja na hayo! Umesoma charge sheet yake?
  11. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Nadhan, kuna shida unavyo Jenga hoja zako!
  12. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Two wrong doesn't make one wrong right.. na Kuhusu Mbowe unaweza weka unazi ndani yke ila mazingira ya kisiasa kwa sasa na tulipo toka, tulihitaji relief than any thing else.
  13. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Thank you indeed... Please,
  14. Noel Shao

    SoC01 Uwepo mkakati wa kudhibiti wizi wa kutumia pikipiki

    Tatizo la ajira nchini bado halijapata ufumbuzi wa kudumu hasa kwa rika la vijana. Ila kuanzia miaka ya 2005 ujio wa vyombo vya usafiri vya bei ya wastani kama bajaji na pikipiki vimekuwa msaada wa ajira kwa vijana walio walio wengi na wanaopenda kujitafutia ridhiki kwa njia ilio halali, hii si...
  15. Noel Shao

    SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Nadhani.. Kinacho wapa hawa viongozi kiburi ni ujinga wetu km raia
Back
Top Bottom