Recent content by Nkukyen

  1. N

    Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Wadau hii ya issue ya coco beach inanichanfanya. Tunasema tunataka utawala wa sheria. Manji ameshinda kesi mahakamani. Wakati huo huo mheshimiwa rais anatoa ruhusa wana-dar es salaam milioni 5 wakamvamie kama akijenga. Hapo tumesimamia wapi wadau hebu nisaidieni.
Back
Top Bottom