Ni kweli kabisa, ila amini kwamba inagusa hata wakulima wadogo wadogo, awamu ya nne ilileta (kilimo kwanza) ambapo walileta mbegu za kisasa zinazohimili majanga lakini ujio wake uliambatana na mbolea ambazo zilitolewa ruzuku na serikali, sasahivi hata mkulima wa heka moja atategemea vitu hivi viwili
Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata unapokunywa kikombe cha chai asubuhi.
Chanzo chake
Kwa kawaida uchumi unakua na mzunguko, ambao tunasema...
Mara nyingi nimekuwa nikitafakari, ni namna gani nimefika hapa nilipo. Siku zote naona ni kama kitendawili kwa maana ni mambo mengi yanahusika hadi mtu kufikia hatua yoyote katika maisha yake, iwe ni kupata kazi, kupata mtoto wa kwanza, kumzawadia mtu wake wa thamani ili apate furaha ndani yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.