Recent content by Njalaliko

  1. Njalaliko

    Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

    NYUMBA INAUZWA MBEZI BEACH MASSANA TZS. 350m UKUBWA WA KIWANJA - SQM 450 [emoji736] NYUMBA IPO NDANI YA FENSI [emoji736] VYUMBA 3 VYA KULALA, CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM [emoji736] SITTING ROOM [emoji736] DINING ROOM [emoji736] KITCHEN ROOM [emoji736] BATHROOM [emoji736] ENEO LA...
  2. Njalaliko

    TV4Sale Nauza Tv inch 55

    Hii TV Bado ipo? Weka mawasiliano yako mkuu nikutafute
  3. Njalaliko

    INAUZWA TV aina ya Hisense led inauzwa 270,000

    Inch ngapi? Picha? Uko wapi?
  4. Njalaliko

    Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

    Mkuu 30m business?
  5. Njalaliko

    Car4Sale Toyota Harrier inauzwa

    Nilikuwa serious na gari yako, nikafika mpaka Boko pale gereji ulipoiacha ...na nilikuwepo Mke wako alivyomtuma shemeji yako aje kuchukua gari pale kwa fundi akisema ameshauziwa na dada yake. . Next time unapokea simu unatoa feedback tu, "NIMESHAUZA"
  6. Njalaliko

    Car4Sale Toyota Harrier inauzwa

    Sasa Nini kinafanya usipokee simu, kwani tutakupeleka polisi?? . Uwe serious na mambo yako, huo uliofanya ni utoto. Nakupigia toka jumamosi jioni mpaka Leo mchana HUPOKEI SIMU. . Huo ni UTOTO [emoji34]
  7. Njalaliko

    Car4Sale Toyota Harrier inauzwa

    Hopeless kabisa, najiuliza alileta tangazo la Nini sasa sipati majibu [emoji2]
  8. Njalaliko

    Car4Sale Toyota Harrier inauzwa

    Analeta tangazo nampigia simu toka jana mpaka muda huu hapokei....watu wengine wa ajabu sana. Sasa umeweka namba za simu za Nini? . Asiyeamini ampigie huyu jamaa Sasa hivi aone kama atapokea simu, hata Kama umeshauza unapokea simu unamwambia mwenzako kwamba UMESHAUZA
  9. Njalaliko

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Gari kali sana
  10. Njalaliko

    Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

    HUJUI USEMALO, WACHA NIKUACHE KAMA ULIVYO
Back
Top Bottom