Recent content by Walt white

  1. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Mkuu samahani, napenda sana kujifunza kupitia maandishi yako. Sasa kuna uzi wako ulifungua juzi hapa nautafuta tena siuoni niliishia portion ya tatu hivi, imekuaje?
  2. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Asante nishapoa mkuu, kwa sasa nipo ila kama kuna fursa sehemu yeyote nafika. Kuhusu gharama ni mpaka tukae tujue tunataka kuanza vipi na inategemea na eneo husika. Kuhusu jina nimeshaomba kubadilisha naona moderator wanalifanyia kazi
  3. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Asante sana, binafsi nahitaji sana kitu kama hicho ila namna ya kumpata mtu awekeze kwako nayo mtihani
  4. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Ni kweli tatizo sio la kuzaliwa binafsi limenianza nikiwa shule ya msingi sikumbuki ni mwaka gani na kadri siku zinavyokwenda ndo linazidi kuongezeka kwani uwezo wangu wa kusikia sasa sio kama wa miaka miwili au mitatu nyuma, na hospitali zetu kila nikienda solution yao ni hiyo hearing aid
  5. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Mkuu asante kwa ushauri, swali kama hili nilishajibu 👇 Pia na hii👇
  6. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Fundi uliyempa ndie ameweka kitambaa hicho au hicho ni original yake? Kama ndio hivyo yalivyo sasa inatosha kwa picha. Kiti kimoja kubadilisha kitambaa na vifaa unavyo ni 50000 kwahiyo ni laki moja kwa hivyo viti viwili
  7. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Sawa mkuu naomba nikuhakikishie nitakufanyia vyema tuwasiliane nijue upo wapi na mengine, sms 0788362088
Back
Top Bottom