Recent content by Nic1987

  1. N

    JamiiForums Sijielewi wanajamii

    Sasa ni tatizo nini na tiba yake nini?
  2. N

    JamiiForums Sijielewi wanajamii

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 na bado sijaowa ila ninarafiki ambaye tumependa kwa dhati.Tatizo lake kwa muda huyu yuko mbali anasoma na ameniahidi nimsubirie kwa miaka miwili kwani yeye anamiaka 20. Ameniambia nimsubirie akomae viungo vyake vizuri. Sasa tatizo langu kila wakati hata...
  3. N

    JamiiForums Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mtu mwenye vidonda vya tumbo anatakiwa ale vya kula gani?
  4. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Jamani asanteni mimi sio mtu wa kichupi matatizo humtokea mtu
  5. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    53930*** cream aina gani na inapatikana maduka ya dawa au!
  6. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Ndio future ebu waeleze kabisa mi sina raha kabisa nimekuwa muoga
  7. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    53930dah!nashukuru sana sana nilikuwa sijui ndugu yangu ila kwenye ------ au puru hakuna viko kwenye uume tu
  8. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Mokoyo nitampataje?
  9. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Vipo kwenye shina na karibu na ring mkuu havitoi chochote vigumuu nikiviminya sana vinatoa damu
  10. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Mimi nimetahiri tangu nikiwa na miaka 3 na sasa 27
  11. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Nieleweshe ndugu yangu dah!naogopa hata kuchukua demu
  12. N

    JamiiForums Ugonjwa gani huu nisaidieni wanaJf

    Vipele vigumu kwenye uume vimenitokea havitoi maji wala vitu vyeupe alafu nivigu vinakwaruza nimeenda kupima. Nikapimwa vipimo vya RPR majibu nikapewa NON REACTIVE nikapima na PITC majibu yakaja SN sana na doctor akaniambia hakuna tatizo nisaidie wapenda hata mapenzi naona aibu kufanya kwa...
Back
Top Bottom