Recent content by Niajekukufarm

  1. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Kesho ndo darasa lipya linaanza karibu
  2. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Huo apo ni mfano wa mfumo wa kugeuza mayai,mfumu huo unabeba mayai 350,fikiria baada ya siku 21 una vifaranga 350 au ata zaid kwa jinsi utakavyopenda kutengeneza mashine yako
  3. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za utotoleshaji(incubators)yatakayo anza tarehe 01/03/2021, -Mwisho wa mafunzo haya utaweza kujitengenezea mashine za...
  4. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Darasa letu hili hapa likiendelea
  5. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Kesho ndo tunaanza masomo yetu,tukishaanza itabidi kusitisha usajili kwanza mpka darasa hili limalize,kama wajua thaman ya muda changamkia elimu hii leo ili siku 21 zisiwe mbali sana,karibuni wajasiriamali wenzangu
  6. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Tupo arusha mkuu karibu uongeze maarifa
  7. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Hii apo ni mmoja ya machine very simple instructions uwezo wa mayai 45 na apo ndo ilikuwa day 21 mapema tu kuku wanatoka
  8. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Acha kukariri maisha nduguyangu inakuwaje unawaza negative tu,i'm just me keeping it real Mimi sio Mr kuku na sioni kosa langu kujaribu kutimiza wajibu kwa wale wenye uhitaji, think big, start small, start now
  9. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Mo Mode wameiweka apa, this is more of huduma,na kweli kuna mpka watu wamenipigia simu kunitisha na Wengine kunikatisha tamaa kwa aina mbalimbali tena watanzania wenzetu sijui kwann tunakuwa negative sana yaan,imagine incubator ya mayai 60 mtu anakuuzia 250k-350k tena nyingi ni imported ambayo...
  10. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Asante Sana mkuu, karibu tusaidiane kujikwamua na kuinua uchumi wa nchi yetu
  11. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Siko ivyo mkuu, angalia number email na ata izi social pages mkuu ni legit google location pia niko open,na hii sio biashara ninayofanya biashara kuu apo ni mayai na kuku kutumia jina na address iyo iyo,mkuu wangu sio utapeli bali elimu tu kuwafungulia najianda wajasiriamali wenzangu,changamoto...
  12. Niajekukufarm

    Mafunzo ya kutengeneza mashine za utotoleshaji(incubator)

    Siko ivyo mkuu, angalia number email na ata izi social pages mkuu ni legit google location pia niko open,na hii sio biashara ninayofanya biashara kuu apo ni mayai na kuku kutumia jina na address iyo iyo,mkuu wangu sio utapeli bali elimu tu kuwafungulia njia wajasiriamali wenzangu,changamoto za...
Back
Top Bottom