Recent content by Ngwalu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeno ya kigamboni

    Inawezekana kiwanja kipo chamsingi alitakiwa akumbie kigamboni sehemu gani pia alitakiwa akutajie na bei japokua sio vizuri kutangaza biashara juu ya biashara.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeno ya kigamboni

    Umeme bada kuna nguzo za umeme zimeishia umbali wa mita mia wanaendelea na usimikaji wa nguzo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeno ya kigamboni

    Kiwanja kiwanja kinauzwa nusu heka, ukita hatua unakatiwa kiasi kulingana na bajet yako tunakata kuanzia milion 5 kwendelea, nusu heka bei ni 18 kuna nyumba ndani haijaisha,Maeno ya Kigambo kabla ya mradi wa NHC Dege kiwanja kiko barabarani kwenye barabara ndogo sio ya lamami ya vumbi...
Back
Top Bottom