Recent content by NGOMILEKI

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Yaani huyu mh alikaa madarkani kwa muda mrefu sana cha kufurahisha na kupendeza hakubadili umbo lake la acil kama watatwala wa zama hizi miaka miwili tu m2 mali kibao na kupata obezite.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    ENZI za ekalius kumbakumba maana likiwakuta kituoni hapabaki m2 labda kapenda mwenyewe.daaah inanikumbusha zamani hzo enzi za mwl.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    ni ktk kipindi hicho kabla hatujaya haribu mazingira it was fine.
Back
Top Bottom