Recent content by Nevu hamis

  1. Nevu hamis

    JamiiForums Matiti kutokwa na maji maji

    Ok! asante pia zina weza zikawa kwa kipindi chote hicho coz ni abt 7yrs.
  2. Nevu hamis

    JamiiForums Matiti kutokwa na maji maji

    Matiti kutokwa na majimaji na wakati mwingine kunakua na kama kuna maziwa hajawahi toa mimba wala hajawahi nyonyesha amekua na tatizo hili kwa mda mrefu tangu 2008 mpaka sasa bado,amejaribu kuwaona Dokta tofauti na kutumia dawa pia alizo pewa but hazija msaidia Dokta alisema ni homons je hakuna...
  3. Nevu hamis

    JamiiForums Uvimbe kwenye ovary

    Thanks!....
  4. Nevu hamis

    JamiiForums Uvimbe kwenye ovary

    I just need to know sababu ya mwanamke kupata uvimbe kweny Ovary na na nn chanzo cha uvimbe huo na unaweza tibika bila upasuaji?
  5. Nevu hamis

    JamiiForums Uvimbe masikioni unasababishwa na nini?

    Nimekua nikisumbuliwa na masikio huu mwiaka 8 sasa kila nikienda hospitali naambiwa nina uvimbe sitokwi na usaha ila kila nikisafisha masikio yanauna sana na hata nikiweka dawa hata nikae masaa nisiinuke ila nikija inuka dawa yote inatoka I need your help seriously
Back
Top Bottom