Recent content by Nduulu

  1. N

    CCM Acheni kuihodhi Tanzania

    Mungu siyo mjinga ndiyo maana anawafanya Watanzania waendelee kuiamini CCM kwa kuwa Hamna hoja za maana mnaishi kwa matukio kama sasa mnalaum Dangote kwenda Lumumba ni hoja nyepesi sana, Mzee Mkapa kusema marofa alikwambia ametumwa na CCM aseme na hii inaadhili VP utendaji wa selikari ya CCM kwa...
  2. N

    CCM Acheni kuihodhi Tanzania

    Zitto Kabwe alikuwa mwanachama wa CHADEMA na bila shaka mpaka leo pengo lake linaonekana ndani ya chama vilevile Dr Slaa wanamchango mkubwa sana ndani ya historia ya CHADEMA mbona siku wameondoka hajawagawia Mali za chama ,hawana jasho lao humo, hiyo siyo dhuluma. Kama unashida na viwanja nenda CCM
Back
Top Bottom