Recent content by Nathluv

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada.....sipati hedhi

    Wapendwa nahitaji msaada,Mimi ni dada wa miaka 30,Nina tatizo la kukata Kwa hedhi mwezi wa nne sasa,nimeenda hospitali nimepewa dawa tofauti tofauti lakini wapi,jaman Mwenye kujua dawa au ushauri tafadhali anisaidie...asanten
Back
Top Bottom