Recent content by nasta

  1. N

    Napangisha nyumba au kuuza.

    Hapa hakuna dalali katika nyumba hii, mimi ndio mwenye nyumba hii na mimi ndio muhusika mkuu. huyo jamaaa Robson mulabwa ni mpumbavu wa akili, wenzake wanasoma wapate madiploma na kupata mafanikio daadae. yeye amesoma kufuta ujinga na ndicho kinachomfanya upeo wake wa akili kuwa mdogo. baada la...
  2. N

    Napangisha nyumba au kuuza.

    kinachokuchekesha ni nini? na ninini cha ajabu umeona? Unamaana gani nitafute watu wa kucheza nao? jaribu kuwa mstaarabu hata kama ikiwa ni tabia yako.
  3. N

    Napangisha nyumba au kuuza.

    Hallo, nashukuru kwa ushauri wako na kwa yote ulioyasema. isipokuwa kuuza kwa hizi nyumba si kwamba kuwa nimeanzisha au nataka kuanzisha kampuni yangu ya biashara za nyumba. hapana. wala si hivyo kama unavyofikiria wewe. mimi kuamua kuuza hizi nyumba ni kwa matatizo yangu mwenyewe binafsi. na...
  4. N

    Napangisha nyumba au kuuza.

    Nyumba mpya kubwa za kisasa napangisha au kuuza. zipo Tabata na zinafance vyumba vinne siting room, dining room, kitchen n.k , kwa maelezo zaidi kwa wale wanaohitaji wasiliana na...0717415868.
  5. N

    Nyumba ya kununua inahitajika haraka.

    Hallo Ramson, nimesoma hapa kwenye hii website ya jamiiforums kwamba unatafuta nyumba maeneo ya Tabata pia. mimi nimuhusika mkuu na wala si dalali, ninanyumba zangu Tabata. na hizo nyumba zote nauza ikiwa tutaafikiana vizuri. kama upo kweli serious unahitaji nyumba ya kupanga au kununua basi...
Back
Top Bottom