Habari wakuu wa JamiiForums, naombeni msaada wenu kwa moyo wa dhati.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35. Nimekuwa nikihangaika sana kutafuta mtoto. Natamani sana kuitwa baba, lakini mpaka sasa ni mwaka wa tatu tangu nioe, na bado hatujabahatika kupata mtoto.
Baada ya kuona hali hiyo, mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.