Recent content by NAKA 7

  1. NAKA 7

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Morogoro

    Eneo lilizungushiwa fansi kwa ajili ya ulinzi wa material ,,kwa wale wanaoleta matirial kidogo kidogo mfano tofali
  2. NAKA 7

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Morogoro

    Vipo mkundi
  3. NAKA 7

    Plot4Sale Viwanja Morogoro

    Viwanja vinauzwa mkundi sheli vina sifa zifuatazo:- 1: vimepimwa 2: umeme upo karibu 3: vipo karibu na hospitali ya wilaya 4: vipo karibu na huduma za maduka makubwa 5: vipo karibu na mashule mbali mbali 6: sehemu vilipo pamejengeka vizuri nyumba za hadhi 7: ardhi ni tambarale hutaingia gharama...
  4. NAKA 7

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Morogoro

    Viwanja vipo mita 500 kutoka Barabara kuu ya lami morogoro to dodoma,hakuna haja ya bodaboda, kutoka msamvu stand ni daladala moja nul ya manispaa. pamejengeka vizur sana, vipo ndani ya fansi kubwa, umeme upo, bei ni kuanzia milion 5 ukubwa wa 30 kwa 20, wasiliana kwa 0652644084/0734443403
Back
Top Bottom