Asante ndugu kwa kunielewa naomba kama hujanipigia kura nifanyie hivyo ili chapisho hili lipate nafasi na liendelee kusomwa zaidi. Natanguliza Shukurani 🙏
Asante kaka
Asante kaka Katika utangulizi wangu nimetaja Afya,Elimu,Kilimo,Utawala bora na miundombinu.
Katika ufafanuzi nimegusia kila sekta iliyotajwa hapo awali ila kwa ajili ya kufupisha chapisho chapisho, Utawala bora bora nimeuzungumzia moja kwa moja kwenye sekta ya kilimo na miundombinu...
Kazi iendelee ina maana pana sana, Kauli mbiu hii inaweza kuihusu serikali au kukuhusu wewe moja kwa moja kwani wajibu wa kufanya kazi ni wa kila mmoja wetu.
Kaka Ni vizuri kauli hii tusiitafisr kisiasa ili tupate maana yake halisi
Uhali gani mwanafamilia wa JF
Karibu katika makara maalumu leo naomba nikuelekeze katika Maendeleo ya kijamii na kwa kuanza makara hii naomba nitangulize shukurani kwa mda wako wewe msomaji.
Kabula ya yote ni vyema tujue maendeleo ya kijamii ni nini? kwa ufupi tu maendeleo ya kijamii ni hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.