Elimu ni ujuzi ambao mtu au mlengwa hupatiwa kwa lengo la kumtoa kutoka katika umasikini wa fikra kwenda katika ubunifu na uzalishaji wa mawazo ulio bora katika kuleta maendeleo baina yake na jamii inayomzunguka. Elimu inayotolewa nchini ni bora lakini sio bora zaidi kwa sababu ina mapungufu...
Utawala ulio bora hujengwa kwa vitu viwili muhimu ambavyo ni MFUMO na WATU ambao ndio viongozi walio katika utawala. Mfumo ni mpangilio wa jinsi jambo au mambo yatakavyofanyika na Watu ndo husimamia, huendesha na kutekeleza mambo yaliyo ndani ya mfumo. Pia watu ndio watekelezaji wakuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.