Recent content by Mwikokolo

  1. M

    Kondomu niliyotumia inavuja, kichwa kinawaka moto

    Nilihamaki Sana Mkuu.... Nilipoziweka Kondomu kabla sijazitupa nilikuta Sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikawaza labda wametoboa Ila sisimizi anaweza kweli kutoboa Kondomu🤔🤔🤔
  2. M

    Kondomu niliyotumia inavuja, kichwa kinawaka moto

    Ni kweli unachosema.... Ila kama hatuwezi kuacha ndio maana tunajilinda! Vip waliopo kwenye ndoa na wanapata maambukizi nao waache tendo la ndoa, Yeyote anaweza kuambukizwa Maana matendo ya mtu anayajua mtu mwenyewe! Vema KUJILINDA
  3. M

    Kondomu niliyotumia inavuja, kichwa kinawaka moto

    Habari wakubwa, Nimekuja kwenu nipate ushauri, maana kichwa kinawaka moto. Mimi ni mtumiaji wa kondomu miaka 6 sasa sijapiga dry. Jana nilikuwa nasex na bidada nikiwa na kondomu zangu 3 mpyaa (DUME). Mwanzo mpaka mwisho kondomu ilikuwa uumeni mpaka nakojoa, (nilitumia kondomu 3 ya mwisho...
Back
Top Bottom