Kiwanja kipo Buhongwa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya lami Mwanza-Shinyanga.
Kiwanja kimeshapimwa na ukubwa wa kiwanja ni 20m*27m.
Huduma zote za kijamii kama maji, umeme zipo pembezoni mwa kiwanja.
Kiwanja kinafikika kwa urahisi.
Bei ya kiwanja ni million 4.5, mazingumzo yapo kidogo...
Nyumba Ni ya vyumba viwili vyote master pamoja na sebule.
Kodi kwa mwezi ni laki mmoja na elfu ishirini (120000), muda wa kodi ni kuanzia miezi sita
Kwa mawasiliano zaidi text/call/whatsap 0762211774 or 0622355789
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.