Hallo, Nnahitaji Flash Mpya kwenye Box lake kwa ajili ya Camera yangu NIKON D3000. Tafadhali tuwasiliane kama utakuwa nayo au kama unaweza kunielekeza ni wapi naweza kuputa Flash kwa ajili ya Camera Yangu. 0715/0755-240140
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Dongle(Box) kwa ajili ya Kufungulia Channel yenyewe ni bei gani!? Au kwa hiyo laki2 unapata vyote!????????? Kama Ndio na Mimi nnahitaji pia. Ila inatakiwa Iwe full HD PVR. Ability to Record. 0715240140
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ujue Kutofautisha. Hizo zinazopatikana Kkoo ni za class ya Tatu kwa ajili ya Ulimwengu wa Tatu kutokana na Gharama na hali khalisi ya Uchumi wetu wa africa. Mchina akitengeneza kitu, Huwa Anatengeneza kwa Class tatu. First Class huwa anapeleka Fist World. Second Class huwa anapeleka Second...
Wana JF habar. Naomba kama kuna Mtu au Fundi Mwenye Display ya Samsung 32-Inch LCD TV Series 4, Model NO:LA32C450E1, Version: SQ03
Please kwa yoyote Mwenye Hii Display labda TV yake imekufa kitu kingine lakini Display ni nzima Naomba tuwasiliane kwenye hii namba Tafadhali. 0715/0755-240140
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.