Recent content by Mwakabeauty

  1. M

    House4Sale Nyumba inauzwa bei milioni 26 Tshs

    Nyumba ipo Kashai, Kashenye, Bukoba, ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule, ina umeme na maji, pia ina eneo kubwa la kujenga nyumba zaidi ya mbili, bei ni milioni 26, bei inazungumzika. Kwa mawasiliano 0752759293
Back
Top Bottom