Recent content by muzlekhan

  1. M

    SoC02 Maisha hayana fomula

    Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine. Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona alipaswa kufika chuo kikuu ili awe na maisha mazuri...HUO NDIYO UTAMU WA MAISHA. Uzuri ni kwamba...
Back
Top Bottom