JF Doctor,
Mimi nasumbuliwa na kitu kama kichomi hivi upande wa kushoto wa tumbo kwa muda mrefu, kama kunawaka moto lakini bila maumivu. Siwezi pia kustahamili kuwa na mkojo mwingi, naweza kukojoa mara kwa mara hasa nikinywa maji au juice.
Aidha nakuwa mchovu kwa kazi ndogo ya kutumia nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.