Recent content by Musa juma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    collezione; baada ya kufanya hivyo(usafi) matokeo yalikuwaje kwa upande wako baada ya kuangaika takribani miaka mitano
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    cellezion ngoja nijaribu ndugu yangu hawa wadudu wananisumbua sana mimi mwenyewe wangu wapo sehemu ya uso nikitumia cream wanapotea nikiacha kutumia wanarudi ebu naomba mnipe ushauri ndugu zangu najua humu mpo madaktari endapo nitapata tiba ntashukuru xna wana jf
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    Kaka samahani umefanikiwa kupata matibabu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    Kaka vipi umefanisha kupata matibabu au bado
Back
Top Bottom