Recent content by Murhannana

  1. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    Sio sababu mkuu wala sifanyagi mambo hayo
  2. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    Sio mjamzito na wala sio mwanamke sio mwanaume
  3. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    Sawa mkuu nitafanya ila nauliza unasukutua kwa siku moja au kila siku na kwa muda gani?
  4. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    Ni uchungu usiokua na maumivi mkuu naombeni ushauri wenu,,maana nakosa amani kabisa,,hakuna uvimbe wala vipele au chochote ni uchungu tuu
  5. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    Ni uchungu usiokua na maumivu mkuu na hata uvimbe hakuna,,nikitu ambacho kinanipa wasiwasi saana
  6. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    Kama mada isemavyo juu mara ya kwanza nimetuma ujumbe huo lakini bahati mbaya sijaweza kuona ushauri wenu naombeni msaada nimekua nasumbuliwa na tatzo la UCHUNGU SEHEMU YA JUU YA MDOMO YAANI ROOF OF THE MOUTH hasa asubuhi na mchana Ila nikila pipi unaiisha ua nikila chakula unaisha ila kwa...
  7. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    habari kingozi mimi nimetuma ujumbe wa kuomba ushauri kuhusu SEHEMU YA JUU YA MDOMO kuwa mchungu ila cha kushangaza article hiyo kwangu haionekani wala nikiifungua naambiwa invalid sasa naomba unisaidie ili niweze kuiona kwani nataka ushauri kutoka wa wanjamiiforums kwani nasumbuliwa na uchungu...
  8. Murhannana

    Uchungu sehemu ya juu ya mdomo "The roof of the mouth"

    Habari wapendwa, Napenda kuuliza na naomba msiidie nimekua na uchungu saana sehem ya juu ya mdomo sasa nakaribia mwaka na tatizo hilo kiasi cha kunifikirisha saana,tatazo lenyewe hua linatokea kuanzia asubuhi mpka jioni usiku hua hakuna,, uchungu unatapakaa mdomoni ila unapotokea ni hapo sehem...
  9. Murhannana

    Tiba ya pingiri za Uti wa Mgongo

    Pole kwa tatizo kiongozi,,mimi mwenyewe ninasumbuliwa na tatizo kama lako,,lkn pia nimeku PM, but upo kimya unaweza kutia inbox yako ya jamii forums tukajua tunashauriana vip kaka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom