Recent content by MtanzaniaHuruTangu1961

  1. MtanzaniaHuruTangu1961

    SOLD: Nauza sofa set (Love seat) na L-shape jumla ya seat ni 7

    Ha ha! Sawa chifu ubarikiwe. Unaruhusiwa kukagua lakini kama unafahamu sponge iliyotumika ukiibonyeza haitoi noise. Sponge mpya kwa wajuzi wa mambo ukiibonyeza kuna kitu inakueleza. By the way hata sofa zingekuwa zimetumika kweli. 650k ni very fair price kwa wanaojua vitu vizuri
  2. MtanzaniaHuruTangu1961

    SOLD: Nauza sofa set (Love seat) na L-shape jumla ya seat ni 7

    Wataalamu wa mambo hayo wanaelewa zaidi. Ile sofa ya watu wawili hapo kwenye picha inaitwa (Love Seat) kwahiyo kuanzia sasa ongeza hiyo knowledge. Love seat ni seat ya watu wawili.
  3. MtanzaniaHuruTangu1961

    SOLD: Nauza sofa set (Love seat) na L-shape jumla ya seat ni 7

    Habari wandugu, Nauza sofa set yenye jumla ya siti saba (7). Muundo wa sofa ni (Love seat) ambayo ni siti ya watu wawili. L-shape ambayo inaunganisha vipande vitatu. Kipande kidogo cha siti ya mtu mmoja, kipande kimoja cha siti ya watu wawili na kipande kirefu cha siti ya watu wawili. Ni...
Back
Top Bottom