Recent content by Msafiri Travelers

  1. Msafiri Travelers

    Tembelea Mlima Kilimanjaro kwa Tshs 500,000/- tu! (Njia ya Marangu)

    NJIA YA MARANGU -KUKWEA PAA LA AFRIKA Marangu (Njia ya Coca Cola): Hii ni njia jadi na ya moja kwa moja miongoni mwa njia nyingi zinazoelekea mlimani. Ni njia yenye shughuli nyingi, na iliyosheheni vifaa muhimu na bora kuliko zingine. Kama utaamua kuitumia, ina maana kuwa watu wengine...
Back
Top Bottom