Recent content by msafara wamamba

  1. M

    Chadema na slaa mbona mnatuangusha? Changamkeni !!

    Ahsante mkuu kwa kutukumbusha, unayosema ni ukweli mtupu!
  2. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Sawa ndugu Augustino mie naamini kweli binadamu hubadilika. Lakini katika suala hili unamuongelea nani kwamba amebadilika? Kama ni fisadi Chenge je amebadilika nini? Kama amebadilika angekiri kosa lake, angetubu kwa wale aliowakosea ambao ni Watanzania na pia angeonyesha kujutia kosa lake kwa...
  3. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Fisadi Andrew Chenge, jana (7 Nov 2010) aliongea na waandishi wa habari na kuelezea nia yake ya kugombea uspika wa bunge. Fisadi Chenge cha kushangaza katika mkutano huo na waandishi wa habari alitumia muda mwingi kumshambulia Mh Samuel Sitta aliyekuwa spika wa bunge lililopita. Najiuliza...
  4. M

    Elections 2010 CONFIRMED: Kigwangala atangazwa rasmi mshindi Nzega

    hongera ndugu. Inaelekea unafurahia kwamba umepata bahati kuwa mbunge. Lakini, je unafurahia bahati ya nini? Unaonyesha kama unafurahia bahati ya kupata ulaji na si kutetea maslahi ya watu wa jimbo lako na Tanzania kwa jumla. Umesema we ni mhangaikaji, unahangaikia tumbo lako au watu wa Tabora...
  5. M

    Elections 2010 Hivi zenji nako ushindi wa rais ulikuwa wa cuf ukaporwa na ccm?

    Bwana Mwera hapa naona umenipa mwanga nilioutaka. Yaani hii ni kiboko kweli! Tofauti na miaka ya nyuma, mwaka huu CUF walikaa kimya tulii, kwa ajili ya muafaka...
  6. M

    Elections 2010 Hivi zenji nako ushindi wa rais ulikuwa wa cuf ukaporwa na ccm?

    Inasemekana na Zenji, maalim Seif Shariff Hamad alikuwa ameshinda kiti cha urais akalazimishwa kukubali matokeo na JK na jeshi ndipo akaanguka saini kukubali ye ni wa pili, kuepusha usalama wake na maafa kwa Wazanzibar, uku akiahidiwa dili kedekede. Na ndo maana maalim siku ile alipotangazwa...
  7. M

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    Usalama wa Taifa imeoza, haina maadili na ni aibu sana kwa Taifa letu. Sio chombo cha sisi Watanzania kujivunia tena. Hata wafanyakazi wake wakionekana mtaani wanatakiwa watembee vichwa chini na si kifua mbele kama zamani walipokuwa wanaheshimika na kutetemekewa na kuonekana kama akina James...
  8. M

Back
Top Bottom