Recent content by Mrs. Rama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utosi wa mwanangu haujakaza mpaka sasa

    ntafanya hivyo mdau.., mana usijekuta badae ikaleta matatizo mengine bure...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utosi wa mwanangu haujakaza mpaka sasa

    Habari za kazi wadau. Naomba mnisaidie, mwanangu ana miezi kumi now lakini bado utosi wake unapiga. Hili ni tatizo ama? na je nifanyeje ili utosi wake uache kupiga (ukaze)?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    ivi nini athari ya P2 au postanor katika mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke.., na je inashauriwa kutumika mara kwa mara au inakipindi chake?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    ivi nini athari ya P2 au postanor katika mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke.., na je inashauriwa kutumika mara kwa mara au inakipindi chake?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wadau: Pampas zimemtoa vipele mwanangu, nitumie dawa gani?

    na bado aliendelea kuvaa pampers?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wadau: Pampas zimemtoa vipele mwanangu, nitumie dawa gani?

    asanteni ndugu zangu, mwanangu kwa sasa anavaa nepi, na vile vipele vyote vimeisha sema vimeacha weupe weupe km makovu and i hope nayo yataisha soon.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wadau: Pampas zimemtoa vipele mwanangu, nitumie dawa gani?

    Habari za kazi, naomba ushauri wenu juu la tatizo alilonalo mwanangu. nilikuwa namvalisha pampers lakini sasa zieanza kumtoa vipele. nimeacha kumvalisha pampers kw sasa, ni dawa gani ambayo naweza kutumia ili vipele vile vikauke!!!!
Back
Top Bottom