Hali ilivyo:-
1.Watanzania waishio nje.
Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
Sera ya vijana ya mwaka 2007 nchini Tanzania inatambua kwamba vijana ni watu wote wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35, ambapo kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ni asilimia 34.7 ya watu wote.
Uendelevu wa mazingira ni namna ya kuwa na jukumu la kuhifadhi maliasili,kulinda...
Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga.
BAADHI YA SIGARA
BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA
BEI YA PAKTI MOJA
BEI YA SIGARA MOJA
Winston & Master Club
Tsh1600/=
Tsh 100/=
Sports Club & Sm Club
Tsh...
Watu maarufu waliowahi kula udongo.
Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja.
Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima.
Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla.
Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai...
Sijui umesoma heading tu,au unafikiria nitashinda,maana waswahili nanyi,lengo langu sio tu kushinda bali ku create awareness kwenye jambo lenye human interest kwa wananchi.Kama ulishawahi kufanya interview ya kazi unaulizwa uzoefu sasa sijui kwako mwenzetu ila wahitimu wengi wnapomaliza...
''Of course akili na elimu vinatofautiana'' EINSTEIN Ila mifumo ya ajira inataka uzoefu labda kama hujawahi kufanya interview ya kazi hadi ila unaposubiri ajira unatafuta expreience ya kazi,kama utajitolea au utajishikiza sehemu ni wewe tu,ajira za karibu hata zila za muda mfupi mfano kusimamia...
Uhaba wa walimu.
Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa, kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi, mapishi tofauti, ujasiriamali...
Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.